
Football : Rifari wakimataifa Rachel ZIHINDULA kisha kuwa muhanga nakupigwa kumbo na Linafoot amealikuwa nchini Misri Ku shiriki kwenye semina
Rifari huu Rachel ZIHINDULA ambaye anakuwa Rifari wakimataifa aliweza kupewa aliko ya kushiriki kwenye semina ya ambayo itakayo fanyika nchini Misri ( Egypte). Itakuwa tariki 24 May hadi tariki 29 May ijayo imekuwa kisha yeye kuwa muchanga wa mechi ya Aigles du Congo na Vita […]
Général Sport