Rifari huu Rachel ZIHINDULA ambaye anakuwa Rifari wakimataifa aliweza kupewa aliko ya kushiriki kwenye semina ya  ambayo itakayo fanyika nchini Misri ( Egypte).

Itakuwa tariki 24 May hadi tariki 29 May ijayo imekuwa kisha yeye kuwa muchanga wa mechi ya Aigles du Congo na Vita club ya Kinshasa, ambayo iliweza kuchezeka tariki 23 april 2025 iyo haikuweza kuzuwiya asipate Sifa zake yeye Kama Rifari ambaye anaendelea kufanya kazi yake vizuri jinsi inavyo faa.

Na kupitiya hiyo uaminifu wakazi yake akaweza kuchaguliwa na viongozi wa CAF Ili aweza kushiriki kwenye hii semina ambayo inapangwa inchini Misri ( Egypte), tuseme kwamba Rachel ZIHINDULA amesha pata sifa nyingi sana kwenye bara la Afrika kwenye mechi ambazo anakuwa akiziongoza kupitiya filimbi yake.

Hongera sana kwake Rifari wakimataifa Rachel ZIHINDULA.

Patrigal Basimarha soka.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *