March 31, 2025
  • Bukavu, R.D. Congo
  • 243 975 767 856
  • 243 854 690 009

Economie

Toutes les actualités

Football : kisha kuishinda kwa shida timu la Soudan ya Kusini timu la kitaifa laki Demokrasia ya Kongo linakuwa likishikilia na fasi ya pili kwa muda ndani ya Kundi lake

Michuwano ya fukuzu la kombe la Dunia, timu yaki taifa DRc limejipatiya ushindi dhidi ya Soudan ya Kusini. Timu laki taifa yaki demokrasia Kongo iliweza kujaza bao kisha shida nyingi ilizo zipata upande yawa Shambuliaji wake ambao waliweza kupata Bahati nyingi munamo kipindi cha kwanza […]

Général Sport

Imekuwa kisha semina iliyo endeshwa hii mwezi wa tatu  tarehe 08 march 2025 huko inchini pwani la pembe ( côté d’ivoire) huyu rifiri Kijana Gradel Mbilizi akiwa na miaka ishirini na tisa ya kuzaliwa (29 ans). Akampelekea aweze kuchaguwa  kuwa Rifari msaidizi wa kwanza kwa […]

Général Sport