Ilikuwa kisha mechi iliyo endeshwa hii jumatano tarehe 30 april 2025 kwenye uwanja wa Mashahidi.

Timu la Aigle du Congo likaweza kuistajabisha vikali kisha kushinda kwenye mechi la awamu ya mchujo Play-off TP Mazembe kwa bao tatu kwa moja (3-1) kwenye mechi ya juma la tatu la michezo la hii timu ya Aigle du Congo ambayo ikaweza kulazisha Mazembe kopoteza mechi yake ya kwanza kwenye michuwano ya Play-off.

Ushindi huu wa Aigle du Congo uliweza kuifanya ishikiliye na fasi ya kwanza kwa muda ikiwa na pointi 9 pts  kisha hizi mechi tatu ambazo imesha zicheza 

Inaendelea kuipatiya njia nzuri ya kuendelea kwenye mashindano, lakini upande wa TP Mazembe inaendelea kusumbuliwa kwenye na fasi ya nne kwa mpangilio wa nafasi wakiwa na pointi 9pts Timu inaendelea kuzofika ingawa ushindi ambayo iliweza kuipata hii jumapili ambayo imepita dhidi ya Daring club motema pembe ya Kinshasa.

Patrigal Basimarha soka.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *