
Ni kwenye matayarisho ya mechi ambayo Timu ya kitaifa ya kidemokrasia ya Kongo léopards itakayo cheza nchini Ghana.
Itakuwa ni mechi yao ya kwanza tuseme kwamba Timu ya léopards imefanya vizuri kwenye mechi ya mbele.
Kocha Guy Bukasa na goal cup Yohann BOPAKA walikuwa wakijibu mbele ya uandishi wa habari na media, kuonesha kama wanakuwa na matumaini na wanajiaminia kwenye mechi ambayo watayo cheza hapa Karibuni na nchi ya Ghana.
Hawana wa wasi wasi wanajipanga Sawa Sawa kwajili ya kupambana na kufanya vema zaidi kupitiya matayarisho ambayo wamefanya
Patrigal Basimarha Soka