Timu ya Lubunga Académie tiyari limetoka kujipatiya nauli ya kushiriki kwenye kipindi ya fainali ya ligi ya Kandanda jimboni Kivu kusini kwa hii mzunguko wamakumi nne na sita Lifski.

Yote ilikuwa Kisha mechi ambayo iliweza kuwa kutanisha hii jumatatu tarehe 22 Aprilia kwenye uwanja was Kadutu ilikuwa mbele ya Timu la Oc Gorille kutoka Kahuzi Biega hii mechi mechezeka Satisa za mchana 15h

Na Lubunga Académie ikaweza kuwa shinda kwa goli tatu kwa Moja kwa umarufu 3-1.

Hii Timu la Lubunga imejipatiya ushindi kwa mechi tatu mfululizo, tuseme kwamba kwa Lubunga imemaliza mechi zake Iki shikilia nafasi ya kwanza katika kundi lake ikiwa na pointi 9 pts kwa mechi ambayo imecheza.

Tuendeleya nakusema Lubunga inakuwa Timu ya pili ya mji wa Bukavu ambayo inajikatiya nauli Ama tiketi Kisha Timu ya FC Kivu. Zingine Timu kama Ciriri sport, Bande rouge na Ruzizi nao wanaendelea kupigania iliwaone kama wanaweza jipatiya tiketiki ila hadi Sasa ni chuma kumaji.

Piya kwenye mechi ya mbele ya 13h Kati ya As Umoja ya Kalehe na FC Umoja d’idjwi haikuweza kucheza Timu ya FC Haikujielekeza uwanjani, na Timu la As Umoja ikaishinda kwache Ama forfait FC Umoja.

Patrigal Basimarha Tonton.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *