Yote ilikuwa imetendeka kwenye michuwano ya mzunguko wamana kumi inne na sita Lifski kwa umarufu 46 ème édition LIFSKI jimboni Kivu kusini.

Katika mechi ambayo iliweza zikutanisha hizi Timu mbili Fc Ciriri sport Timu ya hapa mjini Bukavu na Ac Vijana kutoka huko Minova.

Tuseme kwamba hii mechi iliweza kucheza hii jumanne tarehe 23 Aprilia kwenye uwanja wa kadutu kwa umarufu stade de la concorde.

Mechi ambayo iliweza kucheza satisa za mchana 15h. Na Timu ya Ciriri sport ambayo ilikuwa inachezeya nyumbani ikaweza ikaweza kutatizwa na Ac Vijana ambayo ikaweza kulazimisha Ciriri sport kuenda Sare ya bao moja pande zote mbili 1-1, Timu ya Ac Vijana inabaki na mechi mbili za kucheza.hii timu ya Vijana niwao walikuwa wa kwanza kufunga goli mu 13min na ikalazimisha Ciriri sport kwenda kwenye kipindi chama mpuziko nahilo bao lao moja lakini Ciriri sport ikaweza kusawazisha mukipindi ya pili ya lala Salama na mchezo Pierrot mu 51′ , piya ndani ya hii mechi Palikuwa na kosa nyingi upande wama rifari.

Ac Vijana inalazishwa kushinda hizo mbili kwaku funga goli sita kwa umarufu 6-0 bila kujwaza hata goli moja iliwajipatiye nauli ya kushiriki kwenye kipindi ya Fainali, timu ya Ciriri sport tayari wame maliza mechi Zao inacho baki upande Ciriri sport niku subiriya matokeo za mechi mbili ya Vijana iliwajuwe kama wataingiya kwenye kipindi ya Fainali ao apana lakini hadi Sasa ni chuma kumaji upande zote mbili lakini ni Ciriri sport inakuwa na bahati ndongo sana.

Piya pa saa 13h Palikuwa na pangwa mechi Kati ya Fc Bâtissons ya Idjwi na FC Renaissance ya Kabare, lakini timu ya Bâtissons ikaweza pigwa Che ama forfait mbale ya Renaissance sahabu ni kwamba Fc Bâtissons haikuweza jielekeza kwenye uwanja, na tayari Timu iyo ya FC Bâtissons imenda idjwi bila kucheza mechi yake ya mwisho tuseme kwamba hii Bâtissons imecheza tu mechi moja uwanjani zengine ikazipoteza kwache ama forfait.

Patrigal Basimarha Tonton.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *