As Ruzizi imejipa heshima mbele Ya Renaissance
Ilikuwa kwenye mechi iliyo endeshwa hii jumapili tarehe 21 Aprilia kwenye uwanja wa kadutu katika michuwano ya ligi ya kandanda jimboni Kivu kusini Lifski. Timu la Ruzizi ikaweza kuiharibi vikali Fc Renaissance kutoka Kabare, Ruzizi ikaweza kujifariji kisha kupoteza mechi ya pili ambayo iliwezakuwa kutanisha […]
Général Sport