Michuwano ya Lifski mzunguko wake wamakumi inne na sita kwa umarufu 46 ème édition.

Hii ndiyo matokeo za mechi zote ambazo zimesha cheza piya mpangilio wanafasi katika makundi zake inne.

As Ruzizi 6-2 Fc Bâtissons

Fc Kenge 1-1 As La Victoire

Fc Umoja 0-5 CS Bande rouge.

Lubunga académie 3-1 Fc Tout jeune.

Fc Ciriri sport 3-0 JS Birava.

TP Espoir 2-1 As Ruzizi.

Cs Bande rouge 3-0 As Umoja.
As La victoire 3-2 Fc Umoja.

Oc Gorille 1-1 Fc Tout jeune.

Fc Immortel 2-3 Lubunga académie.

Fc Bisonga 0-2 Fc Ciriri sport.

Fc Bâtissons 0-3 TP Espoir

Fc Kenge 2-1 Fc Umoja.

As Umoja 1-2 As Victoire.

Oc Gorille 0-3 Fc Immortel.

Fc Kenge 1-3 CS Bande rouge.

Fc Renaissance 0-3 As Ruzizi.

Mpangilio wanafasi kwa muda katika makundi ni kama ifwatayo.

.Kundi la kwanza.

1.TP Espoir 6 pts / 2mj+4

2. As Ruzizi 6 pts / 3mj+6

3. Fc Renaissance 0 pts / 1mj-3
4. Fc Bâtissons 0 pts /2mj-7

Kundi la pili.

1. Bande rouge 9 pts / 3mj+10

2. As La Victoire 7 pts / 3mj+2

3. Fc Kenge 4 pts / 3 mj-1

4. As Umoja 0 pts / 2 mj-4

5. Fc Umoja 0 pts / 3 mj-7.

Kundi la Tatu.

1.Lubunga 6 pts / 2 mj+3

2. Fc Immortel 3 pts / 2 mj+2

3. Fc Tout jeune 1 pts / 2 mj-2

4. Oc Gorille 1 pts / 2 mj-3.

Kundi ya inne.

1.Fc Ciriri sport 6 pts / 2 mj+5

2. JS Birava 0 pts / 1mj-2

3. Fc Bisonga 0 pts / 1 mj-2

4. Ac Vijana 0 pts / 0 mj 0.

Piya kwenye Kalendari ya kesho Jumatatu tariki 22 Aprilia kuna pangwa mechi mbili kwenye uwanja wa Kadutu.

Pa saa 13h As Umoja itaipokea Fc Umoja.

Pa saa 15h Lubunga académie itakuwa ikipima maji naunga na Oc Gorille.

Patrigal Basimarha

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *