Yote ilikuwa kisha tukiyo iliyo jitokeza kwenye uwanja wa Mashahidi mjini Kinshasa, hii jumatano tarehe 23 april 2025 kwenye mechi ambayo ilikuwa inakutanisha Timu ya Aigle du Congo na Vita club.
Tuseme kwamba mechi hiyo iliweza kushimamishwa ilikuwa kisha dakika 23′ kisha Timu ya Aigle du Congo kujaza goli yao ndo mashabiki wa Vita club waliweza kuingiya mara moja kwenye uwanja nakutumiya hasira kali na kuanza kutenda vitendo vya kigaihidi, Ku Shambulia wa Rifari piya nakupiga wachezaji wa timu ya Aigles du Congo.
Piya kupitiya vitendo hivyo vitu vingi viliweza kuharibi kwenye uwanja Martyrs, vitu vyakuikaliya na vyumba nyingi kuharika vikali , izi tukio zote zime sababishwa nao mashabiki wa Vita club.
Kwa kutokana na ukosefu wa usalama ambayo imetoka na mashabiki wa timu ya Vita club Rifari akakuwa na shinda ya kiendesha mechi hiyo.
Kupitiya tukio hizo ambazo zimetokana. na mashabiki wa Vita club ambao wamefanya hujeuri kulingana naki pengele ya sheriya namba 80.2 CDF
Timu ya Vita club imepoteza mechi yake kwache kwa faida ya Aigles du Congo , na pesa zote ambazo wengi weza faidiya za mechi.
Vita club itacheza mechi zake tatu zifwatazo bila mashabiki kuingiya kwenye uwanja.
Timu ya Vita club imehukumiwa na kulipa faini ya 12.000$ za kimarekani piya kutengeneza vitu ambavyo vimeharibika kwenye uwanja Martyrs ya Kinshasa.
Kulingana na vipengele vya sheriya kuhusu michezo 15,35,44.2 na 80.2 CDF.
Piya wakimataifa Rifari Rachel Zihindula ameweza kuhukumiwa na kushi mamishiwa kuongoza mechi miezi kumi na mbili ( 12 mois).
Piya rifari wake msaidizi wake Kamwena Nzongola ameshimamishiwa kuongoza mechi miezi makumi mbili na nne (24 mois)
Patrigal Basimarha soka.
