Imekuwa kisha semina iliyo endeshwa hii mwezi wa tatu  tarehe 08 march 2025 huko inchini pwani la pembe ( côté d’ivoire) huyu rifiri Kijana Gradel Mbilizi akiwa na miaka ishirini na tisa ya kuzaliwa (29 ans).

Akampelekea aweze kuchaguwa  kuwa Rifari msaidizi wa kwanza kwa mechi la michuwano ya kombe ya dunia la wachezaji machini ya miaka kumi nanane ( U17 ) ambayo itakayo kutanisha hii tariki 20 march nchi ya Cap-Vert na Mauritani ambayo itakayo chezeka huko nchini Cap-Vert kwenye Stadium national Blue Shark tarehe 20 march 2025.

Gradel Mbilizi Mwanya anaendelea teteya Jimbo la Kivu kusini nakuipa sifa katika nchi nzima la DRC kupitiya mechi ambazo anakuwa akiziongoza zaki mataifa.

 Shirisho ya Bara la Afrika iliweza kumuchaguwa kati yawa rifari ambao watakao uongoza mechi ya kombe CAN ya wachezaji wa miaka kumi na saba ( U17) ambayo itachezeka nchini moroco.

Tunaendelea kumutakia bahati njema kwa rifari wa kimataifa Gradel Mbilizi Mwanya kwa kuendelea Ku heshimisha Jimbo Kivu kusini na mkoa wote nzima.

Patrigal Basimarha soka.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *