
Football : kisha kuishinda kwa shida timu la Soudan ya Kusini timu la kitaifa laki Demokrasia ya Kongo linakuwa likishikilia na fasi ya pili kwa muda ndani ya Kundi lake
Michuwano ya fukuzu la kombe la Dunia, timu yaki taifa DRc limejipatiya ushindi dhidi ya Soudan ya Kusini. Timu laki taifa yaki demokrasia Kongo iliweza kujaza bao kisha shida nyingi ilizo zipata upande yawa Shambuliaji wake ambao waliweza kupata Bahati nyingi munamo kipindi cha kwanza […]
Général Sport