Kombe la wachezaji wa miaka ishirini U20 ambayo inakuwa ikiendelea nchini Misri.
Timu ya kitaifa ya kidemokrasia ya Kongo léopards haikuweza kufaulu kushinda mechi yake ingawa ilikuwa ya kwanza jaza bao mnano dakika kumi na sita za mchezo ( 16′).
Tuseme kwamba goli la timu ya kidemokrasia ya Kongo iliweza kufungwa naye mchezaji Samuel Ntanda kisha dakika kumi na sita za mchezo (16′)
Timu ya kidemokrasia ya Kongo léopards kisha kujaza bao hiyo iliweza kujaribu mara nyingi ila haikuweza kufanyikiwa kufunga bao la pili, lakini kisha dakika Saba (7′) timu la Ghana ikaweza kusawazisha naye mchezaji Musibau Aziz ilikuwa mudakika 24′.
Nani hii matokeo ambayo haikuweza kubadilika kati ya hizi Timu mbili walienda kuachana kwaiyi matokeo ya bao moja pande zote (1-1).
Matokeyo hayo imefanya timu ya kidemokrasia ya Kongo léopards ishikiliye na fasi ya kwanza kwenye kundi lake ikiwa na pointi moja.
Patrigal Basimarha soka.
