
Football : Timu la Renaissance du Kivu imeishinda kwenye mechi ya kirafiki Etoile ya Essence hii ijumaa
Mechi iyi iliyo endeshwa hii ijumaa tarehe 11 Julai 2025 kwenye uwanja wa EDAP / ISP. Kisha timu hii ya Renaissance du Kivu mjini Kwanda ambapo ilikuwa inawakilisha Jimbo Kivu kusini,iliweza kurudi mjini Bukavu naikaona vema hiweze kucheza mechi ya kirafiki na iyi Timu ya […]
Général Sport