EUBABUK : BC Ami Bk ime kanyagwa Kisha kupigwa kombora na BC Chaux sport
Kisha mashindano ya Vikapo ambayo iliweza kuhitimishwa hii jumamosi tarehe 03 agosti 2024, kwenye uwanja wa ISP Kisha fainali ambayo iliweza kutanisha kwa mara ya tatu BC Ami bk na BC Chaux sport, na timu la BC Chauxi sport limeizidiya mara tena BC Ami BK […]
Général Sport