
Kisha kupitiya chupu chupu kwenye mechi za makundi timu la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo léopards haiko Weza kufaulu mechi yake hii jumatatu tarehe 12 mei 2025 mbele ya bafana bafana ya Afrika kusini.
Ilikuwa ni mechi iliyo wakutanisha kwenye robo fainali ingawa léopards waliweza kujitatanuwa lakini mwisho Hawa kuweza Kufaulu kushinda Africa kusini, ingawa bahati ambazo waliweza kupata mukipindi ya kwanza na kipindi ya pili, tuseme kwamba hizi Timu mbili ziliweza kumaliza dakika makumi kenda(90′) bila kujaza bao lolote.
Lakini kwenye kipindi ya upanuzi ( prolongation) timu la Taifa ya Afrika kusini ikaweza kufaidiya bahati mpira wa chini kwenye lango la hatari na mara moja Waka weza kupata goli ilikuwa kisha dakika 106′ nani hilo goli (1-0) liliweza kuipatiya Africa kusini ushindi mbele ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo Léopards.
Léopards wame haga kisha kupigwa na Africa kusini.
Patrigal Basimarha Tonton