
LIGUE 2 eneo la mashariki : timu la Academie real inaendelea kuandaa mechi yake dhidi ya Muungano
Ni kwenye mazoezi ambayo iliendeshwa hii jumanne tarehe 14 january 2025 kunako uwanja wa Kadutu , ambapo Hawa wa vijana masujaa wa académie wanakua wakiendelea kuandaa mechi yao ambayo itakuwa ikicheza hii ijumaa tarehe 17 january 2025 dhidi ya Timu la OC Muungano. Hii mazoezi […]
Général Sport