Aliweza kusema kama hajuwi watu wale ambao waliweza andika kibarua hicho ni watu gani wamejifanya viongozi  kuandika na kusema kama Mbila Mambeta haita shiriki kwenye mashindano ya Ligi ya kandanda hii mwaka tulimo.

Lakini yeye kama kiongozi na presidenti wa timu anasema kwamba timu yake haija kataa kucheza mashindano, na bado haija andika kibarua ya kukataa kucheza Ligi njomana anatowa tahazari sana kwa wale waniya mubaya ambayo wamejipenyeza Kujina ya ED Mbila.

Kama anavyo sema Mulungula Mukamba Jean-fort présidenti wa Timu la Madibisho ED Mbila.

Aliweza kueleza kwenye média ya Gazeti Congoleo net.

Patrigal Basimarha Tonton.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *