LIFSKI/ 47 ème édition : Timu la FC Immortel imengusha FC Ciriri sport kwenye mechi Ya fainali
Ilikuwa kwenye mechi ya mzunguko wamakumi nne na Saba LIFSKI kundi ya Bukavu. Ambayo fainali iliweza kuendeshwa hii jumamosi tarehe 28 juni 2025 kwenye uwanja wa Kadutu, kwenye mechi iliyo kutanisha FC Immortel ya Murhesa na Ciriri sport ya Bukavu. Hii Mechi ilikuwa vuta niku […]
Général Sport