EUFBUK D1 : FC Regisport imekayagwa FC Kivu, FC Texas ikajipatiya ushindi mbele ya Bagira United
Mashindano ya EUFBUK daraja la kwanza ambayo ilikuwa ikiendelea hii jumatatu tarehe 18 septembre kwenye uwanja wa Kadutu. Katika mechi zake zilizo kuwa kwenye mpango saa 13h30 FC Regisport ilikuwa iki poteza mbele ya FC Kivu kisha kupigwa bao tatu tatu zidi ya bao tano […]
Général Sport