Huyu rifari GRADEL MBILIZI Mbilizi Mwanya kisha kucheza mechi yake huko inchini Kenya kama Rifari musaidizi wa kwanza, kwenye mechi ya Kenya police FC na Ethiopia Coffee huko inchini Kenya.

Na mechi ya Sfaxien na  Rukinzo FC huko Tunisia hii tarehe 21 septemba ambayo imepita. rifari Gradel Mbilizi Mwanya apatikana inchini Congo Brazzaville ambayo aliweza kuchaguliwa kati ya wa Rifari nne wa inchi ya Kongo atakuwa vile vile miongoni Wale wa Rifari ambao watakao ongoza mechi za michuwano za UNIFFAC ya wachezaji wa miaka ishirini.

Ambayo itakuwa ikieneza Sasa wiki moja tangiya hii michuwano ianze huko nchini Brazzaville, ambayo itahigimishwa tariki 04 octoba

Kupitiya ujuzi wa Gradel MBILIZI Mwanya nakupitiya njinsi anakuwa akichapa kazi yake vizuri, ataendelea kujulikana zaidi nakupata n’a fasi nzuri ya kuongoza mechi za CAF. Piya aliweza kuchaguliwa Mara tena kuongoza mechi ya Zimbabwe na Namibia ambayo itakuwa ikicheza tariki 14 octoba 2024.

Tuseme kwamba Kijana GRADEL MBILIZI MWANYA ni rifari wa kwanza wa kimataifa katika historia ya Jimbo Kivu kusini akiwa na miaka ishirini na tisa pekee kwa umaarufu 29 ans na ataendelea kuteteya Jimbo Kivu kusini na nchi ya DRc yeye kama Rifari wa kimataifa.

Congoleo net tunamutakia mafanikio katika yake kama Rifari wa kimataifa 

Patrigal Basimarha Soka 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *