EPFJSKI : FC Kanga Suzuki motard mabingwa hao wa kivu kusini, tayari wako njiani kujielekeza mjini Kinshasa
Mabingwa hao wa Kivu Kusini watasafiri kwa ndege saa 6:30 mchana hadi Kinshasa. Kwajili ya kuwakilisha Jimbo la Kivu kusini kwa hii mashindano la wachezaji wachini ya miaka kumi na Saba umaarufu 17 ans, hawa mabingwa kwa mechi ambazo waliweza kuzicheza kwa hii mzunguko wa […]
Général Sport