LINAFJ : TP Buloho inaende kufanya vema naku heshimilisha Jimbo Kivu kusini kwenye mashindano ya kitaifa la vijana
Mashujaa wa TP Buloho wamefanya vema maratena kwenye mechi ya robo fainali ambayo waliweza kuicheza Jana jumatatu tarehe 12 agosti kisha kujipatiya ushindi mbele ya Dortmund bolenge ya Congo ya kati kwa umaarufu Congo Central. Timu la TP Buloho ambayo ilikuwa ikionekana kama mtoto yatima […]
Général Sport