EUFBUK : Timu la Bilombe imefanya mkutano wake kwajili ya bajeti ya mwaka 2024-2025 hii jumatano tariki 30 Julai 2025
Mkutano ule iliweza kufanya hii jumatano tariki 30 Julai 2025 taani Bagira kwenye chumba Karibu vijana mpya (KJN). Mkutano huo uliweza kufanyika kwajili ya Bajeti ya mwaka 2024-2025 ambayo timu iliweza kutumiya. Imefanya mbele ya mjumbe wa EUFBUK Katibu wa kwanza Emmanuel Bulambo na mjumbe […]
Général Sport