LINAFOOT LIGUE 1: FC Etoile du Kivu imejipatiya ushindi na heshima mbele la timu la OC Bukavu dawa
Ilikuwa kwenye mechi ya derby iliyo wakutanisha hao watani wawili wa njadi hii jumatano tarehe 19 novemba 2025 huko Kindu kwenye uwanja wa Joseph Kabila. Timu la FC Etoile du Kivu ikaweza kujipatiya ushindi mzuri tena mnono mbele ya OC Bukavu dawa kisha kuilaza goli […]
Général Sport