FOOTBALL : timu la FC Étoile du Kivu imejipatiya kamati mpya kisha uchaguzi
Ilikuwa kisha mkutano mkuu iliyo fanyika hii jumamosi tarehe 16 agusti 2025 mtaani Ibanda kwenye Lolango hôteli. Ripoti ya tathmini iliyo( rapport bilan)somwa na Katibu Mass Nyindu kuhusu Bajeti ambayo timu iliweza kuitumiya kwa Mwaka 2024-2025 iliweza kusoma kwa kirefu kuhusu Matumizi yote ambayo timu […]
Général Sport