Football : Rifari waki mataifa Gradel Mbilizi Mwanya amechaguliwa kuongoza mechi Ya michuwano ya kombe la dunia kati ya Cap-Vert na Mauritania
Imekuwa kisha semina iliyo endeshwa hii mwezi wa tatu tarehe 08 march 2025 huko inchini pwani la pembe ( côté d’ivoire) huyu rifiri Kijana Gradel Mbilizi akiwa na miaka ishirini na tisa ya kuzaliwa (29 ans). Akampelekea aweze kuchaguwa kuwa Rifari msaidizi wa kwanza kwa […]
Général Sport