EUFBUK PRO 2025 : Mozende imelazimisha Ciriri sport kwenda Sare, Bagira United kashinda Orgaman
Mashindano ya shirika la mpira la Bukavu EUFBUK Daraja ya kwanza ambayo ilikuwa ikiendelea hii jumanne tarehe 17 decamba kwenye uwanja wa Kadutu, ni mechi mbili zilikuwa kwenye mpango. Mechi ya Saa 13h30 Timu la Mozende iliweza kulazimisha Ciriri sport kwenda Sare ya bao moja […]
Général Sport