La presse autrement
Le député provinciale Jérémie Basimane vient de proposer un édit portant la réduction des frais de morgue en province du Sud-Kivu. Un édit déposé a l’assemblée provinciale ce jeudi 25 avril afin de permettre aux familles qui n’ont pas assez de moyen d’accéder à ce […]
Général Santé Sécurité SociétéLa fédération de Bukavu de l’Union pour la démocratie et le progrès social (UDPS) dénonce l’usurpation de ses drapeaux par des inconnus lors de l’accueil du ticket Émile Sumaili de l’UNC au port Ihusi ce jeudi 24 avril.
Général Politique SociétéYote ilikuwa imetendeka kwenye michuwano ya mzunguko wamana kumi inne na sita Lifski kwa umarufu 46 ème édition LIFSKI jimboni Kivu kusini. Katika mechi ambayo iliweza zikutanisha hizi Timu mbili Fc Ciriri sport Timu ya hapa mjini Bukavu na Ac Vijana kutoka huko Minova. Tuseme […]
Général SportTimu ya Lubunga Académie tiyari limetoka kujipatiya nauli ya kushiriki kwenye kipindi ya fainali ya ligi ya Kandanda jimboni Kivu kusini kwa hii mzunguko wamakumi nne na sita Lifski.
Général SportIlikuwa kwenye mechi iliyo endeshwa hii jumapili tarehe 21 Aprilia kwenye uwanja wa kadutu katika michuwano ya ligi ya kandanda jimboni Kivu kusini Lifski. Timu la Ruzizi ikaweza kuiharibi vikali Fc Renaissance kutoka Kabare, Ruzizi ikaweza kujifariji kisha kupoteza mechi ya pili ambayo iliwezakuwa kutanisha […]
Général SportMichuwano ya Lifski mzunguko wake wamakumi inne na sita kwa umarufu 46 ème édition. Hii ndiyo matokeo za mechi zote ambazo zimesha cheza piya mpangilio wanafasi katika makundi zake inne. As Ruzizi 6-2 Fc Bâtissons Fc Kenge 1-1 As La Victoire Fc Umoja 0-5 CS […]
Général SportDes habitants du quartier Nkafu se trouvant dans la commune de Kadutu étaient face à leur bourgmestre ce samedi 20 avril dans une tribune populaire pour lui exposé les problèmes de leur entité.
Général Sécurité SociétéTimu la Oc Gorille imekanyagwa vikali na Fc Immortel kwa goli tatu kwa sufuri (3-0). Ilikuwa kwenye mechi iliyo endeshwa hii jumamosi tarehe 20 april kwenye uwanja wa Kadutu katika michuwano ya ligi ya jimbo Kivu-Kusini.
Général Sport