FC Étoile du Kivu Timu pekee ambayo inakuwa ikiwakilisha Jimbo la Kivu kusini kwenye mashindano ya kitaifa daraja la kwanza. ilikuwa ikipokelea hii jumanne tarehe 28 may huko mjini kinshasa na Timu ya Oc Renaissance du Congo.

FC Étoile du Kivu ikaweza kuonesha Oc Renaissance kwaku walaza kwabao mbili kwa Sufuri 2-0 , Étoile du Kivu inakuwa ikiji kamilishiya na Fasi ndani mashindano ya kitaifa ya Linafoot daraja la kwanza kupitiya ushindi huu ambao wameupata zidi ya OC Renaissance.

Tuseme kwamba hii timu ya Étoile du Kivu iliweza kujaza goli zake mbili mukipindi ya kwanza naya pili naye mchezaji ELVIS NADILA  Mudakika 16′ na 67′ hii ushindi mnono wa Étoile du Kivu unawapatiya wa shikiliye na Fasi ya pili kwenye nne ambazo wamesha kuzicheza wakiwa na pointi 9 pts /12.

 

Timu yake présidenti Sylvanus Mushi Bonane litakuwa ikicheza mechi yake ya mwisho hii alhamisi tariki 30 may itakuwa mbele ya Daring motema pembe ya kinshasa hii mechi haitaweza kutisha tena FC Étoile du Kivu sababu tayari wameji kamilishiya na Fasi Yao kwenye mashindano ya daraja la kwanza huu inchini.

Iyi inakuwa habari njema kwa wanamichezo wote wa Jimbo la Kivu kusini tayari itakuwa ikiwakilishwa na Timu mbili kwenye match ya kitaifa daraja la kwanza inakuwa Kisha miaka Saba Jimbo la Kivu kusini ilikuwa ikiwakilishwa na Timu Moja pekee ya Étoile du Kivu, kwa Sasa Étoile du Kivu itakuwa iki sindikizwa na OC Bukavu dawa kwa mashindano ijayo.

 

Patrigal Basimarha soka.

 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *