FC Étoile du Kivu imekataa kucheza mechi yake zidi ya Ac Rangers.

Yote ilikuwa  imepangwa hii jumanne tarehe 21 may huko mjini Kinshasa ambapo timu ya FC Étoile du Kivu ilikuwa napangwa kucheza mechi yake ya 13h30 na AC Rangers kunako uwanja wa Tata Raphaël.

 

Ila FC Étoile du Kivu haikuweza kujieleza uwanjani kwaku lingana nakibarua ambayo Timu iliweza kuandika , kusema ya kwamba hawako tayari kucheza mechi sababu inakuwa Karibu mwezi Moja Sasa Timu inapatikana mjini kinshasa ilikuwa na ujumbe ya wachezaji 22 ila haikucheza hata mechi.

Uongozi wa Timu ya FC Étoile du Kivu kwenye kibarua kwao umeonesha kwamba wachezaji wengi wamesha Rudi makwao wachezaji kutoka Kisangani Goma na Bukavu. Wameonesha kuwa kalendari iliweza kutoka tarehe 18 may natayari wachezaji wake wameshaenda likizoni. Kalendari ambayo inasema michuwano kuanza tarehi 21 may hadi tariki 30 may.

Kiongozi wa Timu Bwana Sylvanus Mushi Bonane ameonesha kwamba haita wezeka Timu yake icheze mechi tano mu Siku kumi.

 

Ila kibarua cha FC Étoile du Kivu haikuweza kuzuwiya Uongozi wa linafoot kupanga mechi yake tayari Ac Rangers imejikuta uwanjani wao wenyewe pasipo Étoile, Rangers imejikuta uwanjani pamoja nama rifari ni alama ambao imeonesha ya kwamba FC Étoile du Kivu imepigwache Yani forfait kwa faida ya Ac Rangers.

Patrigal Basimarha soka.

 

 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *