Etoile du Kivu

FC Etoile du Kivu ili amuwa kucheza mechi yake ya pili hii ijuma tarehe 24 may Kisha Kupoteza kwache Yani forfait mechi yake ya kwanza mbele ya Ac Rangers ,

Tueleze kwamba hii mechi imecheza hii tarehe 24 may kwenye uwanja wa Tata Raphaël huko kwenye mji mkuu wa Kinshasa .

Ambapo timu ya Étoile du Kivu imejipanguza machozi nakuji kujipa matumaini ya kubaki ndani ya mashindano ya kitaifa ya Linafoot daraja la kwanza Kisha ushindi mnono ambao wame upata dhidi ya FC Celeste 2-1.

 

Tuseme kwamba FC Étoile du Kivu ambayo inawa ikiwakilisha Jimbo la Kivu kusini kwahii mashindano ya play-down walienda kwenye kipindi ya mpunziko wakiongozwa kwa bao Moja kwa ziro , ila mukipindi Cha pili ikaweza kusawazisha nakufunga baolao la ushindi.

Kwenye mpangilio wanafasi kwa muda Timu ya FC Étoile du Kivu inakuwa ikichukuwa na Fasi ya nne Kisha hii ushindi wao zidi ya FC Celeste, piya Étoile du Kivu itakuwa ilicheza mechi yake ya kufata jumapili tariki 26 may itakuwa mbele ya As Kuya.

Patrigal Basimarha soka.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *