Hii timu ya Timu kwajili ya kuanza mashindano vizuri iyi mzunguko wake wa makumi nne Saba ( 47 ème édition). TP ilikuwa uwanja hii jumanne tarehe 27 mei kwenye uwanja wa Kadutu kwajili ya mazoezi itakayo wapelekea wanze Mashindano vizuri.
Ujumbe wa Timu ya TP Clinique ilikuwa ya wachezaji ishirini na saba (27) ambayo waliweza kushiriki kwenye mazoezi, njo alama inaonanesha ya kwamba wanakuwa wakijiandaa vizuri munjia zote kwali ya kufanya kwahii mashindano ya LIFSKI.
Piya lengo nikuchukuwa kombe naku cheza mashindano ya kitaifa ya LINAFOOT daraja la pili mwaka ijayo, sababu timu yao inaendelea kujipanga Sawa sawa kwajili ya kufikia lengo ambayo wanao.
TP Clinique itakuwa ikicheza mechi yake itakuwa tariki 02 juni 2025 itakuwa ikipokea FC Kenge kutoka Idjwi.
Patrigal Basimarha soka
