Ilikuwa hiii jumatatu tarehe 30 juni 2025 kwenye uwanja wa michezo wa de la concorde mtaani Kadutu.

Mashabiki Hawa wa Barcelone ingawa waliweza kufungwa goli Mapema sana na Mashabiki wa Real Madrid haikuweza kuwa sikitisha, walijipatiya nguvu na wakaweza Ku sawazisha mnano kipindi ya.

Real Madrid iliweza kupata Bahati ya kuongoza mechi kwa mara mbili mfululizo mukipindi ya kwanza lakini iyo yote haikuweza kuzibiya na kukatisha matumaini ma shabiki wa Barcelone wasi sawazishe hizo goli na kujaza zingine goli.

Matokeo ya mechi ilikuwa ya bao tano kwa bao nne (5-3) ya Barcelone ambayo imeonesha ubingwa wake kupitiya hii mechi iliyo wakutanisha wao watani Wawili.

Hiyo inaendelea kuonesha kwamba timu la Barcelone inaendelea tu kukanyaga hata upande wa Mashabiki.

Patrigal Basimarha soka Magufuli 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *