Michuwano ya fukuzu la kombe la Dunia, timu yaki taifa DRc limejipatiya ushindi dhidi ya Soudan ya Kusini.

Timu laki taifa yaki demokrasia Kongo iliweza kujaza bao kisha shida nyingi ilizo zipata upande yawa Shambuliaji wake ambao waliweza kupata Bahati nyingi munamo kipindi cha kwanza lakini washabuliaji walikuwa natatizo ya kuweka mpira kwenye nyavu.

Kisha dakika makumi nne na tano na dakika tano za nyogeza (45’+3) timu laki taifa DRc likaweza kufaulu kujaza naye mchezaji Théo Bongonda kisha chapisho nzuri aliweza kupakuliwa naye mchezaji Yoane Wissa.

Hii mechi ilikuwa ni mechi ya juma la tano la michuwano ya kombe la Dunia, ushindi huu umepelekea timu ya jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo lishikiliye na fasi ya pili kwenye kundi lake likiwa na pointi kumi (10 pts) kwa mechi tano 

Patrigal Basimarha Tonton.

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *