Mashindano ya EUFBUK daraja la kwanza ambayo ilikuwa ikiendelea hii jumatatu tarehe 18 septembre kwenye uwanja wa Kadutu.

Katika mechi zake zilizo kuwa kwenye mpango saa 13h30 FC Regisport ilikuwa iki poteza mbele ya FC Kivu kisha kupigwa bao tatu tatu zidi ya bao tano (3-5), tuseme ya kwamba kwenye hii mechi ni timu ya Regisport ilikuwa ya kwanza kujaza bao kabla timu ya Kivu iweze kusawazisha nakujaza goli la pili.

Bunde tu munamo kipindi cha kwanza Kabla Timu hizo ziende kwenye kipindi ya mapumziko timu ya Regisport ikaweza kusawazisha nani nawakaingiya kwenye mapumziko wakiwa Sare ya bao mbili pande zote mbili.

Ila kwenye kipindi cha lala ama kipindi ya pili Timu ya Regisport ikaweza kupunguwa nguvu kiasi hadi nginsi iliweza kujazwa hizo goli tatu mnano kipindi ya pili ya lala Salama ingawa wameanza mechi. Régisport ikaenda kupoteza n’a fasi yake ya tatu na kutokana na matokeo Sasa Watakuwa wanachukuwa na fasi ya inne kwa muda.

Kisha mechi hiyo palikuwa piya na mechi ya pili iliyo kutanisha pa saa satisa na Nusu ama 15h30 FC Bagira United ambao ilikuwa iki gongana na Texas timu yake mwanabunge wa Jimbo Kivu kusini Ananie Lunanga Anansoft. FC Texas ambayo imejipatiya ushindi wake wa pili kisha kuishinda FC Bagira United kwabao mbili kwa Sufuri.

FC Texas ni timu ambayo iko ikicheza bila kutumiya wachezaji wake wanne machachari ambao waliweza kuhazibiwa na viongiozi wa kamati tendaji ya EUFBUK husika na michezo ya hapa mjini Bukavu kisha hiyo gasiya ambayo iliweza kutokea kwenye mechi ya Texas na TP Clinique.

Lakini ingawa iyo FC Texas inaendelea nakujitahidi bila wachezaji wale, na iyi inakuwa na mechi yao ya tano ambayo wameicheza zidi ya Bagira United nawakajipatiya ushindi vile vile kwa goli mbili kwa sufuri (2-0) FC Texas ambayo ilikuwa na chukuwa na fasi ya nanne kwenye mpangilio wana fasi kwa muda kupitiya hii ushindi yao mbale zidi Bagira United wameenda kushikilia na fasi ya tatu.

Tuseme kwamba iyi ilikuwa ni bingwa mtetezi kwa mwaka ambayo imepita ingawa iliwezaga kufunguwa iyi mashindano vibaya lakini kwa Sasa wananza kujitaidi tena.

Patrigal basimarha soka.

 

 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *