Football : timu la TP Clinique linaendelea vizuri kwajili ya kucheza mashindano ya LIFSKI ambayo itakayo naza hapa Karibuni
Hii timu ya Timu kwajili ya kuanza mashindano vizuri iyi mzunguko wake wa makumi nne Saba ( 47 ème édition). TP ilikuwa uwanja hii jumanne tarehe 27 mei kwenye uwanja wa Kadutu kwajili ya mazoezi itakayo wapelekea wanze Mashindano vizuri. Ujumbe wa Timu ya TP […]
Général Sport