Soka : Kocha Tifo Miezi kisha kutoa matokeo mazuri kwenye Klabu nyingi Katika eneo la mashariki ya Kongo ameweza kufaulu Kupata cheti ya Lisene B Ya CAF kisha majifunzo
Kocha Tifo Miezi iliweza kustajabisha timu nyingi Katika historia yake yeye kama kocha wakati alikuwa mkufunzi wa Timu ya Étoile du Kivu. Kocha hii aliweza jipatiya ushindi kwa mara mbili na kuishinda Bukavu dawa na Timu yake Étoile du Kivu wakati Étoile du Kivu ilikuwa […]
Général Sport