Football : kocha Riziki Mbilizi Don iko kati ya ma kocha ambayo wako nagombea Leseni B la shirikisho ya Kongo mjini Goma
Kocha RIZIKI MBILI DON ni Kocha pekee wa mjini Kamituga ambaye iko akishiriki kwa hii majifunzo ya makocha ambayo ilifunguliwa hii alhamisi tarehe 26 septemba huko mjini Goma. Hii majifunzo niwa kocha makumi nne tano wanakuwa wanakuwa waki Kushiriki kwenye majifunzo kati ya kocha hawa […]
Général Sport