
Football : timu ya VC Kahuzi imeanza mazoezi hii jumapili tarehe 13 april kwenye uwanja wa ITFM Bukavu
Timu hii imeanza mazoezi yake ambayo ilikuwa ikiongozwa naye Nestor Mubibwa, mazoezi ilianza ilikuwa na 6h00 saa za asubui hadi satatu (9hO0). Lengo ya mazoezi haya ni kuandaa mechi ambazo Timu ya VC Kahuzi itakazo zicheza hapa Siku za husoni, hii ilikuwa ni mazoezi ya […]
Général Sport