Yote imefanyika kisha Uchaguzi iliyo endeshwa hii jumapili tarehe 16 march 2025 kunako chumba cha shule la kiufundi ITFM.

Tuseme kwamba Uchaguzi ilifanyaka katika hali ya utulivu, Patient Bahati aliweza kupata sauti ya kura kumi nanane juu ya sauti makumi mbili 18/20, 

Ikaweza pelekeya kushinda Uchaguzi nakupata pointi hasilimiya tisini nanane juu ya hasilimiya miamoja.

Iyi yote inaonesha uaminifu anao kwa watu ambao wamemu chaguwa, Patient Bahati atakuwa akiongoza VC Kahuzi kwa Muhula wa mwaka moja kuanziya hii tarehe ambayo amechaguliwa kama kiongozi.

Patient Bahati aliweza kushukuru watu wote ambao waliweza kumuchaguwa na amewa hadiya kwamba ataweza kufanya timu ya VC Kahuzi iwe timu kubwa kama timu zingine za vétéran za hapa mjini Bukavu na mkoa wa Kivu kusini na nje jimbo Kivu kusini.

Aliendelea kusema ya kwamba atajitahidi kudilisha sura ya timu kupitiya vifaa kama mavazi Zawa chezaji, na vingine  vyo ili timu iende mbele.

Atakuwa akisadiwa ndani ya kamati naye kiongozi makamu wa Kwanza Ely Kibasomba.

Kiongozi makamu wa pili ni Tony Muhamed

Mashuhuri, ni Eric.

Katibu na katibu makamu wataweza kuteuliza naye Kiongozi Patient Bahati kwa Siku zinazo kuja.

Patrigal Basimarha Tonton

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *