Football : Mulungula Mukamba Jean-fort présidenti wa timu laki Madibisho ED Mbila imesema ya kwamba timu ya Mbila haija kataa kucheza mashindano ya LIFSKI, ni watu waniya mbaya wanajipenyeza kujina ya Mbila
Aliweza kusema kama hajuwi watu wale ambao waliweza andika kibarua hicho ni watu gani wamejifanya viongozi kuandika na kusema kama Mbila Mambeta haita shiriki kwenye mashindano ya Ligi ya kandanda hii mwaka tulimo. Lakini yeye kama kiongozi na presidenti wa timu anasema kwamba timu yake […]
Général Sport