LINAFOOT LIGUE 1/ Play-off : Timu la TP Mazembe imecha manyoya mjini Kinshasa kisha kupigwa na Aigle du Congo
Ilikuwa kisha mechi iliyo endeshwa hii jumatano tarehe 30 april 2025 kwenye uwanja wa Mashahidi. Timu la Aigle du Congo likaweza kuistajabisha vikali kisha kushinda kwenye mechi la awamu ya mchujo Play-off TP Mazembe kwa bao tatu kwa moja (3-1) kwenye mechi ya juma la […]
Général Sport