ILLICOCASH LIGUE1 : Olivier Nshokano kachuguliwa mchezaji bora wa mechi Bukavu dawa na Celeste
Yote imekuwa kwenye mechi ya ILLICOCASH LIGUE1 iliyo endeshwa hii jumamosi tarehe 09 novemba kwenye uwanja wa Kadutu. Mchezaji huyu machachari aliweza kustajabisha vikali nakuisulumisha timu ya FC Céleste kisha goli mbili ambayo aliweza kuzifunga kwa hii mechi ya OC Bukavu dawa na FC Celeste, […]
Général Sport