Ilikuwa kwenye mkutano mkuu iliyo endeshwa hii jumatano tarehe 08 Octoba 2025 kwenye hôtel Beau lieu pa Nguba watu makumi Sita na mbili waliweza kushiriki kwenye mkutano huo ( 62).

Kabla uchaguzi uanzishwa presidenti wa tume huru ya uchaguzi Bwana Augustin Mupenda aliweza kuchukuwa kahuli na pana shurti ambayo wapiga kura wata Weza kuifanya iliweweza kuchaguwa viongozi wao.

Kisha hapo uchaguzi ukaweza kufanyika na mweshimiwa Aime Boji Sangara  akaweza kuishinda uchaguzi kwakupata sauti asilimiya 98,7% juya hasililiya 100%, Bwana Aime Boji Sangara atakuwa akisaidiwa ndani ya kamati na watu Hawa ;

 Présidenti makamu husikaye naye Bwana Papol CIZUNGU 

Présidenti makamu husikaye na michezo ni Daniel Boji.

Karibu mkuu na Katibu makamu wataweza kuteuliwa na présidenti wa timu.

Mulinda hazina : Louis LUSHOKA MUGISHO.

Piya timu itakuwa na wa shahuri wa nne, Christian KAZAZI, Yves Rhurhule Muhanzi, Cishugi Cimanga Patient, Bagula Kizungu.

Patrigal Basimarha soka Magufuli 

Laisser un commentaire

Votre adresse e-mail ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *