
Football : Klabu la chuo Uhuru ya Murhesa imeishinda Renaissance ya Kivu kwenye mechi Ya kirafiki
Mechi hio iliweza kuendeshwa hii jumapili tarehe 25 mei 2025 kwenye uwanja wa Murhesa. Timu la chuo Uhuru kisha kopoteza mechi yake ya pili mbele ya Shule ya kati Ecofoot Walungu, iliweza kujipatiya Jana jumapili mbele ya Renaissance ya Kivu. Tuseme kwamba mechi iyo iliweza […]
Général Sport