Michezo : Kika Musimbi Christopha alias Werra, anakuwa mgombea kwenye nafasi ya kocha msaidizi wa Daring motema pembe
Kocha msaidizi wa sasa wa klabu ya daring motema pembe, kika musimbi maarufu kwa jina la werra amewasilishwa kwenye kamati ya viwango ya shirikisho la soka nchini kongo, maombi yake ya kuwania nafasi ya kocha msaidizi, Jumatano hii Julai 24, 2024, kwa niaba ya mataifa […]
Sécurité