EUFBUK : FC Texas bingwa mtetezi wa mashindano ya shirika ya mpira la Bukavu,timu imeanze mazowezi hii jumatatu kwenye uwanja wa Istm
FC Texas ni timu ambayo imeandika tayari historia yake kwenye mashindano ya shirika la mpira la Bukavu kisha kuchukuwa ubingwa wa mashindano kwa musimu ambao umepita 2023-2024. Timu yake mwanabunge Ananie Lunanga Anansoft Kijana piya Mwandishi kwenye ubunge wa mkoa Kivu kusini, timu lake Lilianza […]
Général Sport