LINAFOOT / Play-down : FC Étoile du Kivu imekataa Kucheza mechi hii jumanne zidi ya Ac Rangers
FC Étoile du Kivu imekataa kucheza mechi yake zidi ya Ac Rangers. Yote ilikuwa imepangwa hii jumanne tarehe 21 may huko mjini Kinshasa ambapo timu ya FC Étoile du Kivu ilikuwa napangwa kucheza mechi yake ya 13h30 na AC Rangers kunako uwanja wa Tata Raphaël. […]
Général Sport