EUFBUK : Kocha Kumbao Jean amesaiini Mkataba mpya na US Bilombe ya huko Bagira
chama cha michezo la Bilombe ya huko Bagira kimemsajili kocha Kumbao Jean kwa mkataba ya miezi 5 awali. pande hizo mbili zilifikia makubaliano mchana wa Alhamisi hii, Julai 25, 2024. Mchezezaji wa zamani wa bukavu dawa, Bande rouge, Ibanda sport na kocha msaidizi wa sasa […]
Général Sport